Monday 19 March 2007

MLIOKO CAMDEN -NEW JERSEY (USA)




Hivi hali ni mbaya namna hii? unajua wakati natazama THE WIRE nilifikiri kuwa BALTIMORE kumechoka lakini naona NJ mmefunga kazi...that said naona TONY SPORANO ndie atakuwa anaishi maisha mazuri huko kwenu duh!

No comments: